BARAZA LA MITIHANI LATOA TOVUTI RASMI ZA KUANGALIZIA MATOKEO

 











 
 
 
 
 
 
 
Baraza la mitahani la taifa leo limetoa tovuti rasmi kwa ajili ya kuangalizia matokeo pindi yatakavyo tangazwa. Tovuti hizo ni www.necta.go.tz na www.matokeo.necta.go.tz. vilevile wamesema kwamba tovuti ya wizara ya elimu www.moe.go.tz haitatumika kwasasa kwasababu haipo hewani.
Previous
Next Post »