Inasemekana huyu ndiye Mchumba wa Diamond Platnum ambaye anategemea kumuoa,Huyu Bi dada si mtu maarufu nchini,Ni mrembo ambaye yupo mbali kabisana vyombo vya habari.
Diamond platnum akaona amtupie mara moko hapa mtandaoni,Watanzania watahminishe mchumba wake.kama vipi wema sepetu,Jokate n.k mjipange hamna chenu kwa the president wa wasafii.
EmoticonEmoticon