Binti wa Miaka Tisa ajifungua mtoto

 



Binti wa miaka tisa ajifungua mtoto wiki iliyopita , tukio hilo lilitokea mjini Guadalajara Mexico.Aliyempa ujamzito ni kijana wa miaka kumi na saba (17) kwasasa anatafutwa na polisi baada ya binti huyo kujifungua na kijana huyo kutoweka kutoonekana ambapo kitendo hiko kiliwaudhi wazazi wa binti na kufikisha hilo swala kwenye vyombo vya sheria.
Previous
Next Post »

1 comments:

Write comments
Unknown
AUTHOR
8 February 2013 at 00:39 delete

HAYO NI MAAJABU YA DUNIA

Reply
avatar