ZAIDI YA ABIRIA 40 WALIOKUWEMO KWENYE BASI LA NEW FORCE WAMEPONA KUFA BAADA YA KUGONGANA NA ROLI AINA YA FUSO MAENEO YA PIPE LINE INYALA BASI LA NEW FORCE LILIKUWALINATOKEA MBEYA KUELEKEA DSM |
Hili roli aina ya fuso ndilo lililosababisha ajali hiyo kwani lilikuwa lilikuwalinalipita gari lingine bila ya kuangalia kama gari nyingine inashuka mlima na ndipo lilipokutana na basi hilo |
Hii ndiyo hali halisi ya ajali hiyo dreva wa fuso kakimbia baada ya kusababisha ajali hiyo |
Mtoto Samwelli akisimulia jinsi ajali hiyo ilivyotokea kwani yeye alikuwa nyuma ya dereva amesema yeye mkanda ndiyo uliomuokoa kwani mama aliyekuwa jirani yake hakufunga mkanda ameumia vibaya sana |
Badhi ya abilia waliokuwa kwenye basi hilo wakisubiri usafiri mwingine toka katika kampuni ya new force |
Baadhi ya mjeruhi hao wameruhusiwa baada ya kupata matibabu |
EmoticonEmoticon