Nairobi Half Life (Kenya)
Dear Mandela (South Africa)
The Curse (Morocco)
When China Met Africa (UK)
The films of the Mosireen Collective (Egypt)
Kempinski (Mali)
The 9 Muses (UK)
Tey (Senegal)
Otelo Burning (South Africa)
Cursed Be The Phosphate (Tunisia).
Kwa mujibu wa mtandao maarufu barani Afrika wa africasacountry.com Filamu hizi zimo katika list ya 10 bora kwasababu ni movie zilizo wekezwa kwa budget kubwa na hatimaye kuwa bora na kupata soko kubwa barani Ulaya na Marekani.
Zikiwa katika mitindo, mandhari na maudhui tofautitofauti Filamu hizi zimeweza pia kuoneshwa katika majumba makubwa ya Sinema duniani.
Lakini mtandao huu umetoa nafasi kwa wadau wenyekipingamizi kuweka mambo wazi, kama kuna Filamu iliyo bora zaidi ya hizi.., na kwa maoni ya Mo blog ni vyema tukazitafuta Filamu hizi tukazitazama na kupima ubavu wetu na waafrika wenzetu. Ni kweli hatustali kuwa katika 10 bora????!!!!
EmoticonEmoticon