Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa azindua mkutano wa kujadili matumizi ya namba moja kwa mitandao tofauti ya simu


Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mawasiliano wakati wa mkutano uliowakutanisha kujadili matumizi ya namba moja ya simu uliofanyika mlimani city, Dar es Salaam

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Prof. John Nkoma wakati wa mkutano wa kujadili matumizi ya namba moja kwa mitandao tofauti ya simu uliofanyika mlimani city, Dar es Salaam


 
Previous
Next Post »