Picha
na Maktaba Barabara ya Darajani Visiwani Zanzibar. Askari wa kutuliza
ghasia wameshaanza kurusha mabomu ya machozi kutawanya kundi la uamsho
ambao wapo Barabara ya Darajani wanachoma matairi na kurusha mawe kwa
askari. Fujo hizo zimetokana na kukamatwa kwa kiongozi wa Uamsho Sheikh
Farid.
Huyu
ndiye Kiongozi wa Kundi linaloitwa UAMSHO la Zanzibar Sheikh Farid
aliyekamatwa huko Visiwani Zanzibar. Kundi hilo shughuli zake ni za
mihadhara ya Kidini hasa ya Kiislam.
EmoticonEmoticon