LULU MICHAEL KANENEPA HAA!Angalia ..PICHA .Msanii LULU AKITOKA MAHAKAMANI
Elizabeth Michael a.k.a LULU, (Katikati), akielekea kupanda basi la magereza kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Kkazi Kisutu, baada ya kesi inayomkabili ya kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake, Hayati Steven Kanumba, kuahirishwa |
LULU akielekea kupanda gari tayari kwa safari ya Segerea |
EmoticonEmoticon