IT'S ON .. 2012 REDDS MISS TANZANIA TALENT COMPETITION KUFANYIKA TAREHE 26 OCTOBER AT GIRAFFE OCEN VIEW HOTEL
Wote tunajua kuwa shindano la kumsaka mlimbwende wa urembo hapa nchini maarufu kama Miss Tanzania linakaribia
kufikia kilele siku si nyingi ambapo kabla ya grand finale zake
hutanguliwa na mashindano mbalimbali mojawapo likiwemo ni lile la
kumsaka mtembo mwenye talent.
EmoticonEmoticon