Ulinzi katika jiji la Dar es salaam umeendelea kuhimarishwa kutokana na ujio wakuu wa nchi zaidi ya 12 akiwemo rais wa Marekani Bwana Barack Obama anayetarajiwa kuwasili nchni Julai mosi saa 6 mchana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Julius Nyerere



Previous
Next Post »