Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wafanyabiashara wa Oman na
Tanzania wakati wa mkutano malum wa uwekezaji aliouandaa kwaajili ya
kuelezea fursa za uwekezaji nchini.Mkutano huo wa uwekezaji ulofanyika
jijini Muscat Oman ulihudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya nje Bernard
Membe,Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda ,Wziri wa
Kazi,Ushirika na Uwezeshaji kiuchumi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Haroun Ali Suleiman pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mawaziri na
maofika wangazi za juu wa Oman na Tanzania waliohudhuria mkutano maalum
wa uwekezaji uliofanyika katika Hoteli ya Al Bustan jijini Muscat Oman
leo.
Picha na Freddy Maro.
EmoticonEmoticon