Waziri
wa Fedha Dkt. William Mgimwa akiwa na Waziri wa Fedha wa Uganda Bi.
Maria Kiwanuka wakibadilishana mawazo katika chakula cha jioni
kilichoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jijini Tokyo –
Japan.
Donald
Kaberuka Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika akimsikiliza kwa makini
waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa wakati wa chakula cha Jioni Jijini
Tokyo – Japan.
Wajumbe
wa Mkutano huo wakiwa katika chakula cha jioni, wa mwanzo kabisa ni
Gavana wa Benki kuu Malawi akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha ya
Malawi.
Mhe.
William Mgimwa Waziri wa Fedha akichangia mada juu ya jinsi gani
waafrika wanaweza kujikomboa kwa kupitia Benki ya Maendeleo ya Afrika
katika hafla ya chakula cha jioni Jijini Tokyo- Japan.
Waziri
na Fedha Dkt William Mgimwa akiteta na Gavana wa Benki Kuu Profesa
Benno ndullu wakati wa hafla ya chakula cha jioni cha Benki ya
Maendeleo ya Afrika Jijini Tokyo – Japan.
Waziri wa Fedha akiwa na rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Donald Kaberuka katika kikao cha faragha jijini Tokyo –Japan.
EmoticonEmoticon