WAFUASI WA SHEIKH PONDA WAKAMATWA WAKIANDAMANA JIJINI KITUO KIKUU CHA POLISI KATI

Mmoja wa wafuasi wa kikundi cha waislamu wenye imani kali akidhibitiwa na polisi mara baada ya kukamatwa leo katika kituo kikuu cha polisi Kati wakijaribu kuandamana ili kushinikiza kiongozi wao Katibu wa Taasisi za Kiislamu Shekh Ponda Issa Ponda kuachiwa na jeshi la polisi mara baada ya kukamatwa jijini Dar es salaam kwa kudaiwa kusababisha vurugujijini Dar es salaam.
 (picha kutoka fullshagwe.blogspot.com)


Mwandamanaji mwingine akipelekwa katika kituo kikuu cha polisi kati jijini Dar es salaam leo mchana mara baada ya kukamatwa akiandamana .(picha zote kwa hisani ya www.fullshagwe.blogspot.com)
Previous
Next Post »