Irene Uwoya afiwa na baba yeka aliyemfungisha ndoa


Nyota wa filamu nchini ambaye kila kukicha jina lake linazidi kung'ara kutokana na vituko vya aina yake Irene Uwoya, leo amesafairi kwenda Moshi kuhudhulia Mazishi ya baba yake Mkubwa, ambaye ndiye..
aliyefungisha ndoa kati yake na mwanasoka wa Uganda Hamad Ndikumana 'Katauti'.
Uwoya ambaye ni mchanga amesafiri leo baada ya kukusanyika na wasanii wenzake baada ya kupata hiyo taarifa, kwamba baba yake huyo alifia huko na kumpasa aende haraka iwezekanavyo.
Baba yake huyo ambaye anaishi Moshi ndiye aliyekuwa padri wa ndoa yake, hivyo kuwa mtu muhimu sana kwa upande wake.
Previous
Next Post »