wachambuzi wa kisiasa, wanaharakati, viongozi wa kidini na kisiasa
katika mkoa wa Pwani nchini Kenya wanasema kwamba ghasia za siku mbili
zilizoshuhudiwa katiika mji wa pili kwa ukubwa nchini Kenya, Mombasa
hauhusiani na ugomvi wa kidini.
Mtaalamu wa historia ya jamii ya kislamu katika kanda ya Afrika kusini
mwa janga la Sahara Hassan Mwachimwako, anasema ghasia kweli zinatokana
na hasira za vijana wa kislamu lakini walosababisha hasara kubwa ni
makundi ya kidini.
EmoticonEmoticon