Muungano
wa Vyama vya Upinzani nchi Kenya NASA umemtangaza mwanasiasa mkongwe
nchini humo Raila Odinga kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa nchini
kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika August 8 mwaka huu.Aidha, NASA
imemtangaza Kalonzo Musokya kuwa mgombea-mwenza
Muungano
wa Upinzani Nchini Kenya NASA, umemtangaza Raila Odinga kuwa mgombea wa
nafasi ya Urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa August 8, 2017
EmoticonEmoticon