Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa la
Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, kwenye makazi yake Oysterbay jijini Dar es
salaam Januari 24, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng'i
Issa akitoa taarifa ya Baraza hilo katika kikao kati ya Baraza na Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kilichofanyika kwenye Makazi ya Waziri Mkuu,
Oysterbay jijini Dar es salaam Januari 24, 2017
Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, John Jingu akitoa
maelezo kuhusu Baraza hilo katika kikao kati ya Baraza na Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa kilichofanyika kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay
jijini Dar es salaam Januari 24, 2017.
Baadhi
ya Wajumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na
watumishi wa Baraza hilo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipozungumza nao kwenye makazi yake , Oysterbay jijini Dar es
salaam Januari 24, 2017
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza
la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi baada ya kuzungumza nao kwenye
makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam Januari 24, 2017.
EmoticonEmoticon