Katika tukio hilo, pia wadau hao pamoja na ndugu na jamaa walipata kuweka mashada ya maua kwa kuonyesha upendo kwa mpendwa wao pamoja na kumuombea kwa muumba katika kipindi hiki cha kifo chake.
Watoto wa marehemu wakiweka maua kwenye kaburi la Baba yao mpendwa Mpoki Bukuku
Baaadhi ya ndugu na jamaa wa karibu wa marehemu wakiweka maua kwenye kaburi la Mpoki Bukuku
Mama Mzazi wa marehemu akiweka maua kwenye kaburi la mwanae Mpoki Bukuku
Mbunge wa Singida Kaskazini Mh. Lazaro Nyalandu akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Mpoki Bukuku
EmoticonEmoticon