KONA YA JAMII
NEWSMHESIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ATOA SHILINGI MILLIONI 10 KWA AJILI YA MATIBABU YA BINTI BERNADETHA MSIGWA ANAYESUMBULIWA MACHO KUPITIA KIPINDI CHA 360 CHA CLOUDS TV
MHESIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ATOA SHILINGI MILLIONI 10 KWA AJILI YA MATIBABU YA BINTI BERNADETHA MSIGWA ANAYESUMBULIWA MACHO KUPITIA KIPINDI CHA 360 CHA CLOUDS TV
Mh Rais leo Katoa Millioni 10 Mapema asubuhi katika Kipindi 360 cha
Clouds tv kwa Binti Bernadetha Msigwa, alipofuka Akiwa Chuo mwaka wa 3
Chuo Kikuu SUA Morogoro. Mh Rais Kamtuma Ndg Ngusa Kaleta Pesa Clouds 360 sasa ivi. Pongezi Kubwa Mh Rais JP Magufuli.
EmoticonEmoticon