Moto ukiendelea kuteketeza Bweni la Wavulana (Mkwawa ) katika shule ya sekondari ya
Iyunga jijini Mbeya ambapo chanzo chake kimetajwa kuwa ni hitilafu ya umeme
ambapo
moto huo ulizuka majira ya saa 3 asubuhi february 29 mwaka huu wakati
wanafunzi wakiwa
madarasani.
Mkuu
wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa mwenye suti akisaidiana na kikosi cha Zima moto
kuuzima moto ulioteketeza Bweni la wavulana katika shule ya sekondari ya
Iyunga jijini Mbeya linalolaza wanafunzi 95 February 29 mwaka huu
ambapo hakuna
Muonekano wa bweni la
Wavulana katika shule ya sekondari Iyunga jijini Mbeya mara baada ya
kuteketea kwa moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme majira saa3
asubuhi ambapo hakuna mwanafunzi yeyote aliyejeruhiwa kutokana na ajali
hiyo ya moto. .
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya
Nyirembe Munasa akizungumza na Walimu pamoja na wanafunzi (hawapo
pichani )katika shule ya sekondari Iyunga jijini Mbeya mara ya baada ya
kukumbwa na tukio la kuungua kwa moto kwa mabweni ya wavulana ya
(Mkwawa) February 29 mwaka huu.
Kamati ya ulinzi na
Usalama wilaya ya Mbeya na baadhi ya viongozi wakitizama
athari zilizotokea mara baada ya mabweni ya wavulana katika shule ya
sekondari Iyunga jijini Mbeya kuungua moto uliosababishwa na hitilafu ya
umeme February 29 mwaka huu .
Afisa elimu Mkoa wa Mbeya
Charles Mwakalila akizungumzia athari zilizojitokeza mara baada ya
mabweni ya wavulana katika shule ya sekondari ya Iyunga jijini Mbeya
ambayo yaliteketea kutokana na hitilafu ya umeme majira ya saa3 asubuhi
wakati wanafunzi wakiwa madarasani .
Baadhi ya wanafunzi
waliofanikiwa kuokoa vifaa vyao kwa masaada wa watu wa zima moto wakiwa
nje wakisubiri utaratibu mara baada ya bweni lao kuteketea kwa
moto.
Baadhi ya wanafunzi
wakiwa nje kusbiri utaratibu mara baada
waliofanikiwa kuokoa baada ya bweni lao kutektea kwa
moto.Picha na David Nyembe
KAWAIDA....
Moto
ukiendelea kuteketeza Bweni la Wavulana (Mkwawa ) katika shule ya
sekondari ya Iyunga jijini Mbeya huku chanzo chake kikitajwa kuwa ni
hitilafu ya umeme ambapo moto huo ulizuka majira ya saa 3 asubuhi
february 29 mwaka huu wakati wanafunzi wakiwa madarasani.
|
|
Muonekano
wa bweni la Wavulana katika shule ya sekondari Iyunga jijini Mbeya mara
baada ya kuteketea kwa moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme majira
saa3 asubuhi ambapo hakuna mwanafunzi yeyote aliyejeruhiwa kutokana na
ajali hiyo ya moto. .
|
Mkuu
wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akizungumza na Walimu pamoja na
wanafunzi (hawapo pichani )katika shule ya sekondari Iyunga jijini Mbeya
mara ya baada ya kukumbwa na tukio la kuungua kwa moto kwa mabweni ya
wavulana ya (Mkwawa) February 29 mwaka huu.
|
Kamati
ya ulinzi na Usalama wilaya ya Mbeya na baadhi ya viongozi wakitizama
athari zilizotokea mara baada ya mabweni ya wavulana katika shule ya
sekondari Iyunga jijini Mbeya kuungua moto uliosababishwa na hitilafu ya
umeme February 29 mwaka huu .
|
Afisa
elimu Mkoa wa Mbeya Charles Mwakalila akizungumzia athari
zilizojitokeza mara baada ya mabweni ya wavulana katika shule ya
sekondari ya Iyunga jijini Mbeya ambayo yaliteketea kutokana na hitilafu
ya umeme majira ya saa3 asubuhi wakati wanafunzi wakiwa madarasani .
|
Baadhi
ya wanafunzi waliofanikiwa kuokoa vifaa vyao kwa masaada wa watu wa
zima moto wakiwa nje wakisubiri utaratibu mara baada ya bweni lao
kuteketea kwa moto.
|
|
EmoticonEmoticon