Waziri
wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Mawaziri wa
Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Abdallah Possi na (wapili kushoto) na Anthony
Mavunde (kushoto) wakisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu
waliojitokeza kuwapokea na kuwakaribisha wakati walipoingia Ofisini kwa
Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi , Desemba 14, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akipokea maua kutoka kwa
mtumishi wa ofisi ya Waziri Mkuu, Numpe mwadumbya (kushoto) baada ya
kuwasili ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi
Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama (wapili kushoto)
akishuhudia wakati Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony
Mavunde (wapili kulia ) na Dkt. Abdallah Possi(kulia) wakipokea maua
kutoka kwa Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Tina Ambros (kushoto) baada ya
kuwasili kwenye ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi
Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu)
Waziri
wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Mawaziri wa
Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Abdallah Possi na (wapili kushoto) na Anthony
Mavunde (kushoto) wakisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu
waliojitokeza kuwapokea na kuwakaribisha wakati walipoingia Ofisini kwa
Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi , Desemba 14, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Mawaziri wa
Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Abdallah Possi na (wapili kushoto) na Anthony
Mavunde (kushoto) wakisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu
waliojitokeza kuwapokea na kuwakaribisha wakati walipoingia Ofisini kwa
Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi , Desemba 14, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Mawaziri wa
Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Abdallah Possi na (wapili kushoto) na Anthony
Mavunde (kushoto) wakisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu
waliojitokeza kuwapokea na kuwakaribisha wakati walipoingia Ofisini kwa
Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi , Desemba 14, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akizungumza na watumishi
wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 14, 2015 baada ya
kuwasili ofisini kuanza kazi . Kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu, Dkt. Abdallah Possi na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu,
Dkt. Florence Turuka (kabla ya kuwapokea Waziri na Naibu Mawaziri,
Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati aliporipoti
Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu,
Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati
aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14,
2015. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa Mhagama
.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu,
Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Abdallah Possi wakati
aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14,
2015. Wapili kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa
Mhagama na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony
Mavunde(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, Jenista Mhagama (wapili kushoto), na Naibu Mawaziri Ofisi ya
Waziri Mkuu, Dkt. Abdallah Possi (wapili kulia) na Anthony Mavunde
(kulia) baada ya kuwakabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakati
waliporipoti Ofisini kwa Waziri Mkuu kuanza kazi Desemba 14, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Jenista Mhagama (katikati), Naibu Mawaziri Dkt. Abdallah Possi
(kulia) na Anthony Mavunde (wapili kulia)) baada ya mawaziri hao
kuripoti Ofisini kwake kuanza kazi Desemba 14, 2015. Kushoto ni Katibu
Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt, Florence Turuka, Wanne kushoto ni
katibu Mkuu Kazi na Ajira, Eric Shitindi na watatu kulia ni Naibu Katibu
Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikula.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama (kushoto) na Naibu Mawaziri, Dkt.
Abdallah Possi (Wapili kulia) na Anthony Mavunde (kulia) baada ya
Waziri huyo na Manaibu wake kuripoti Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar
es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
EmoticonEmoticon