Serikali imetoa siku 14 kwa waajiri kuhakikisha waajiriwa wao wa kigeni wana vibali na mikataba vinginevyo sheria itachukua mkondo wake.

Serikali imetoa siku 14 kwa waajiri kuhakikisha waajiriwa wao wa kigeni wana vibali na mikataba vinginevyo sheria itachukua mkondo wake.
Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira,Walemavu na Wazee JENISTER MHAGAMA wakati alipokutana na watendaji wa ofisi yake.
Previous
Next Post »