Hali
ya taharuki imetanda Burundi baada ya mili ya takriban watu 90
kupatikana imetapakaa mjini Bujumbura eneo la Nyakabiga. Burundi
imeendelea kuzorota kisiasa na kiusalama tangu kutibuliwa kwa jaribio la
kuipindua serikali mwezi mei kupinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza
kuwania urais kwa mara ya tatu.
EmoticonEmoticon