RC: Wasiojiandikisha marufuku vituo vya kura Anonymous 07:55 Anonymous Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Rufunga amewapiga marufuku wananchi ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapigakura kwenda kwenye maeneo ya vituo cha kupigia kura ili kuepusha kuzuka kwa vurugu zitakazo sababisha uvunjifu wa amani. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest Artikel Menarik Lainnya
EmoticonEmoticon