Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk Emmanuel Makaidi amefariki leo mchana Anonymous 07:46 Anonymous Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk Emmanuel Makaidi amefariki leo mchana katika Hospitali ya Nyangao, Lindi kutokana na shinikizo la damu, mke wake, Modesta Makaidi amethibitisha kutokea kwa kifo hicho. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest Artikel Menarik Lainnya
EmoticonEmoticon