Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi kutoka
Usultani wa Oman Hon.Dr.Ahmed Mohamed Al Furaisi na Mkurugenzi Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya China Merchants Group Dkt. Hu Jianhua wakichanganya
kokoto kuzindua rasmi ujenzi wa Bandari ya Mbegani iliyopo wilayani
Bagamoyo Mkoa wa Pwani leo.Bandari hiyo kubwa inajengwa kwa ubia kati ya
serikali ya Tanzania, China na Oman.(Picha na Freddy Maro
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon