Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano
Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa
mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), Bw. Frank Kanyusi akitoa
maelezo kuhusu wavuti mpya ya wakala huo ambayo kuanzia sasa mteja
atakuwa anajisajili yeye mwenyewe kupitia huduma hiyo ya mtandaoni
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa
mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi wavuti
mpya ya BRELA ambayo kuanzia sasa mteja atakuwa anasajili kampuni ama
taasisi yake yeye mwenyewe kupitia huduma hiyo ya mtandaoni
Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Mwenyekiti mweza wa baraza hilo wakifurahia baada ya kuzindua rasmi wavuti
mpya ya BRELA ambayo kuanzia sasa mteja atakuwa anasajili kampunia ama
taasisis yake yeye mwenyewe kupitia huduma hiyo ya mtandaoni
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akieleza kwa wanahabari juu ya
mafanikio ya kikao cha tisa TNBC hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu
jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 201
Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
wadau wakuu wa biashara wakati wa kikao cha tisa cha baraza hilo katika
ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015
Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete
watendaji wakuu wakai wa kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa
mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015
Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
wadau wa biashara wakipata picha wakati wa kikao cha tisa cha baraza
hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2,
2015
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha na watendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) wakati wa kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015
Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
katika picha na wana TNBC katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es
salaam leo Oktoba 2, 2015
EmoticonEmoticon