REGINA LOWASSA AZIDI KUSHIKA KASI YA KUMNADI MUMEWE




 
Mke wa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mama Regina Lowassa akihutubia mkutano wa hadhara wa kumuombea kura mumewe Edward Lowassa katika mji wa Biharamulo mkoani Kagera leo.
 Mama Lowassa akiwa na akina mama mbalimbali wa Biharamulo.
 Mmoja wa viongozi wa Mawacha akiongea katika mkutano huo.
 Mama Lowassa akicheza ngoma na wenyeji wa Biharamulo
Previous
Next Post »