Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji na akihutubia mkutano
wa kampeni katika jimbo la Isimani Iringa vijijini.Isimani Iringa
vijijini, (Picha na Francis Dande)
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji na akihutubia mkutano
wa kampeni katika jimbo la Isimani Iringa vijijini.Isimani Iringa
vijijini,
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa na mgombea ubunge
jimbo la Isimani Iringa vijijini, Patrick Ole Sosopi.
Wasanii
wa kikundi cha ngom za asili cha Kitimtim kutoka mkoani Iringa
kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea mwenza
wa Ukawa, kupitia Chadema, Juma Duni Haji (hayupo pichani) uliofanyika
jimbo la Isimani Iringa vijijini.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji na Makamu Mwenyekiti wa
Bavicha Taifa ambaye pia ni mgombea ubunge jimbo la Isimani Iringa
vijijini, Patrick Ole Sosopi wakiwasalimia wananchi waliofika katika
mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Kimandi Iringa vijijini.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji na akimtambulisha kwa
wapiga kura mgombea ubunge jimbo la Isimani Iringa vijijini, Patrick Ole
Sosopi.
Wananchi wakifuatilia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Isimani mkoani Iringa.
Mgombea ubunge jimbo la Isimani Iringa vijijini kupitia Ukawa, Patrick Ole Sosopi akihutubia mkutano wa kampeni.
EmoticonEmoticon