Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea ubunge wa CCM wanaogombea katika majimbo ya Igunga na jimbo la Manonga katika mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Barafu. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea ubunge wa CCM wanaogombea katika majimbo ya Igunga Dk. Dalally Kafumu na jimbo la Manonga Seif Hamis Gulamali katika mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Barafu.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea ubunge wa CCM wanaogombea katika majimbo ya Igunga na jimbo la Manonga pamoja na wabunnge wa viti maalum katika mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Barafu. Mgombea ubunge jimbo la Igunga Dk.Dalally Kafumu akijinadi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Barafu, Igunga. Mgombea ubunge jimbo la Manonga Ndugu Seif Hamis Gulamali akipika kampeni kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Barafu, Igunga. Mbunge wa Viti maalum mkoani Tabora Mhe. Munde Tambwe akihutubia wakazi wa Igunga kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwataka wananchi hao kumpa kura mgombea wa CCM kwa nafasi ya Urais Dk. John Pombe Magufuli na kuwachagua wabunge na madiwani wa CCM. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye picha ya pamoja na wapenzi wa CCM waliokuwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbali mbali.
Mwakilishi wa watu wenye ulemavu Ndugu Amon Mpanju akihutubia umma uliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM Igunga. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Abdallah Bulembo akihutubia wakazi wa Igunga kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Barafu Igunga.
EmoticonEmoticon