LOWASSA AKIHUTUBIA MKUTANO MKUBWA MULEBA


Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni zake za kuwania nafasi hiyo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera leo Septemba 18, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera leo Septemba 18, 2015.
 Wananchi wakifurahia
 Lowassa akisalimina na mgombea Ubunge wa jimbo la Muleba Kusini kupitia CHADEMA, Kashasira Alistides. Katikati ni Fredrick Sumaye.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini kupitia CHADEMA, Kashasira Alistides, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, Mjini Muleba, Mkoani Kagera leo Septemba 18, 2015.
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza, Mh. Ezeckiel Wenje akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera leo Septemba 18, 2015.
Halaiki katika mkutano huo
Previous
Next Post »