Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kutesa jijini Dar es Salaam ambapo hadi sasa watu 23 wamefariki dunia.
Mbali na vifo hivyo , wagonjwa 1,559 walifikishwa hospitalini katika wilaya zote tatu za Dar es Salaam, huku Kinondoni ikiongoza kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa.
EmoticonEmoticon