Bi. Samia Suluhu Ahaidi Neema kwa Wapiga Kura Majimbo ya Liwale na Nachingwea

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Sabasaba Mjini Nachingwea kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu. Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Sabasaba Mjini Nachingwea kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu.[/caption]
Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale.
AKIZUNGUMZA na wananchi katika mikutano hiyo mgombea mwenza Bi. Samia Suluhu alisema licha ya ilaya ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuonesha kulenga kuboresha maisha ya wananchi haswa akinamama na vijana kupitia vikundi anuai, alisema Serikali itakayoundwa na CCM endapo ikifanikiwa kurudi madarakani itahakikisha inaweka utaratibu wa kupima ardhi na kuigawa kwa wananchi ili kuwaandalia hati za kawaida na zile za kimila kwa vijijini. Alisema utaratibu huu utawawezesha wananchi kuwa na dhamana katika mikopo na kuweza kujiendeleza kwa shughuli zao za kiuchumi. Aliongeza licha ya zoezi la upimaji na utoaji hati kuwa na manufaa kwa wananchi aliongeza kuwa litapunguza migogoro ya ardhi kati ya pande anuai na matumizi tofauti jambo ambalo lilikuwa kikwazo hapo awali. "...Tutapima maeneo na kutoa hati za kimila na Serikali ili wananchi waweze kutumia kama dhamana katika mikopo, hizi zitasaidia wananchi kupata fedha za kujiendeleza," alisema. Akizungumzia soko la korosho alisema Serikali imekisikia kilio cha wananchi juu ya utaratibu wa stakabadhi ghalani hivyo kuwaahidi kulifanyia kazi suala hilo. Mambo mengine ambayo Bi. Samia Suluhu aliahidi kuyashughulikia ni pamoja na huduma za maji safi na salama kuzijenga barabara za kuingia na kutoka katika Wilaya hizo za Nachingwea na Liwale kwa kiwango cha lami kwa awamu na kuboresha elimu. Bi. Samia anaendelea na ziara yake katika Mkoa wa Lindi na anatarajia kuanza ziara hiyo mkoa wa Mtwara leo jioni, kuendelea kuinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi.
Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale.
Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale.
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akihutubia kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale jana.

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Sabasaba Mjini Nachingwea kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu.

Mgombea ubungea wa Jimbo la Nachingwea akizungumza na wanaCCM na wananchi wengine katika uwanja huo.
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumpta Mshama akizungumza katika mkutano wa kampeni jana.
Meza kuu ya mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM mjini Nachingwea. Kulia ni mgombea wa ubunge Jimbo la Nachingwea Hassan Elias Masala akiwa na mgombea mwenza. *Imeandaliwa na www.thehabari.com
 
Previous
Next Post »