ALIYEKUWA Waziri mkuu wa Serikiali ya
awamu ya Tatu Fredrick Sumaye
ametangaza rasmi kujiunga na UKAWA na
kuungana Waziri mkuu wa awamu ya nne
Edward lowassa,
Akizungumza na waandishi wa
Habari mda huu Jijini Dar es salaam
,Sumaye amesema amefikia hatua hiyo
baada ya kuchoshwa na uvunjaji wa kununi
ikiwemo katika harakati za kumteua
mgombea wa Urais kwa upande wa CCM
akidai mwenyekiti wa chama hicho Jakaya
Kikwete alitumia ubabe katika kuwaingiza
watu wake tano bora.LIVE ITV MUDA HUU
EmoticonEmoticon