KONA YA JAMII
NEWSArusha express yenye namba za usajili T 165 AGB inayofanya safari za mbeya arusha kupitia njia ya dodoma imepata ajali katika kijiji cha Imezu mkoa wa Mbeya majira ya saa moja asubuhi leo
Arusha express yenye namba za usajili T 165 AGB inayofanya safari za mbeya arusha kupitia njia ya dodoma imepata ajali katika kijiji cha Imezu mkoa wa Mbeya majira ya saa moja asubuhi leo
Arusha express yenye namba za usajili T 165 AGB inayofanya safari za
mbeya arusha kupitia njia ya dodoma ambayo imepata ajali katika kijiji
cha Imezu mkoa wa Mbeya majira ya saa
moja asubuhi leo tarehe 22 mwezi wa nane mwaka 2015.
baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa majeruhi
ni watu 9. Ambapo chanzo cha ajali ni mwendokasi.
EmoticonEmoticon