58 likes
sokessy👆Neno. #Repost @mwinjaku
Tafadhali naomba mnisikilize saaana # @babutale @salaam_sk @officialalikiba
Umefika wakati wa babutale na salim kumsaidia mdogo wenu ali # haijalishi aliwakosea kwa kiasi gani au mnasahau maneno ya wahenga kua mtoto akinyea mavi mkono wako hauukati bali unausafisha tu.
Sasa huu ni wakati wa kuhamisha nguvu mlizo kua mnaziweka kwa dai mziweke na kwa ali kiba kwani kwa sasa kila kitu kiko wazi kua mipango na management yenye maana ndio nguzo pekee ya kufika mbali kwa mziki wa watanzania.
Huu sio wakati wa kuvimbishiana misuli na kuanza kujinadi wakati ukweli wa mambo uko wazii#
Mimi naongea kama mtamzania hapa #hebu fikiria kwenye tuzo hizi za MTV tungekua na @diamondplatnumz ma pembeni @officialalikiba unadhania tungekua tunajiskiaje hapoo kama sio raha iliojaa na faraja ya kutosha.
@babutale @salaam_sk nyie sasa ni wazazi na sio watoto ambao wanataka kumkomesha mtu au kutaka sifa ya upande mmoja #kikubwa ninachota ni kimuita alikiba kwa njia yoyote na atake asitake lazima akubaliane na ukweli kua nyie mumpe muongozo aweze kufika hapo alipo dai.
Katika maisha haitakiwi kua na tegemeo moja au haitakiwi kua na nguzo moja kwa bahati mbaya ikianguka tutafanyaje sisi au mnataka yatukute kama kwenye bongo movie? Kanumba kaindoka na ujuzi wake woote leo hakuna kitu labisaaaa.
Mpaka mm nimeamua kuchukua maamuzi magumu kuingia kwenye bongo movie ilia kujaribu kuinusuri lakini wapiiiii .ila kama tungeweza kuwaandaa watu kama kina kanumba kabla hajafa leo tusinge kua tunalalamika kuhusu bongo movie .
Sasa hii hali hatutaki itokee kwenye muziki wetu ,nasema kwa njia yoyote @salaam_sk na @babutale mtawajinika katika hiliii
Na mungu awahukumu kama mtaendelea kumuacha mdogo wenu ali akijikongoja wakati uwezo wa kumshika mkono mnao na mnapaswa kufanya hivyoooo .kikunwa ni kumsamehe yeye bado mdogo kwenu na mnajua sifa kubwa ya watoto hua hawakubali kama wamekose ila baadae ataona tu ukweli.
@officialalikiba tafadhali ndugu yangu wewe ni wa nyumbani na dai ni wa nyumbani .hebu acheni huo mvutano usio na maana #tazama leo MTV kama ungekuawepo wewe na dai yaaani wangetuheshimu jamani .mimi ninacho kitaka haraka. Masaidieni ali kiba HARAKA
EmoticonEmoticon