BOTI
ya Kilimanjaro V ikishushwa katika Meli ya Thorco Clairvaux ikitokea
Nchini Australia , boti hiyo ilishushwa nje kidogo ya Bandari ya Malindi
Mjini Zanzibar na tayari imeshazinduliwa rasmi kuanza safari zake.
Picha na Haroub Hussein.

BOTI ya Kilimanjaro V ikitua katika maji ya bahari ya Hindi leo

EmoticonEmoticon