Mh.
January Makamba na mkewe, Ramona Makamba(kulia) baada ya kuwasili
mkoani hapa Kagera kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu
zake za kuwania Urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama
hicho cha CCM. Picha na Faustine Ruta, Bukoba. Mh.
January Makamba na mkewe, Ramona(kulia) mara baada ya kushuka kwenye
Ndege leo hii Jumatano asubuhi juni 24, 2015. Picha na Faustine Ruta,
Bukoba. Mh. January Makamba akisalimiana na Katibu wa Vijana Mkoa wa Kagera Mh.
January Makamba akisalimiana na Wanafunzi wa Sekondari waliokuwa
Uwanjani hapo ambao bila Shaka walikuwa wanasoma masomo ya Ndege
inavyoruka na kutua na mengineyo kiujumla leo jumatano juni 24, 2015.
Picha na Faustine Ruta, Bukoba Mh. January Makamba akisaini kwenye kitabu cha Wageni kwenye Uwanja Ndege Bukoba. Mh. January Makamba na mkewe, Ramona wakiteta jambo kwa furaha. Msafara wa Bodaboda kuelekea Mjini kwenye mzunguko na kugeuka kwenye Makao makuu ya CCM Mkoa wa Kagera Mjini Bukoba, Bodaboda wakimsindikiza Mh. Januari Makamba Makamba akisalimia Wakazi wa Mji wa Bukoba walijitokeza kwa wingi January
Makamba ameendelea na Ziara yake ya Kusaka Wadhamini katika Mikoa
mbalimbali ya Tanzania na leo hii jumatano juni 24, 2015 yupo hapa
Mkoani Kagera akiomba Uzamini. Mh. January Makamba amepokelewa na wakazi
wengi wa Mkoa wa Kagera wakiwemo Vijana walijitokeza kwa wingi
kumpokea. Picha na Faustine Ruta, Bukoba Mh.
Januari Makamba baada ya kusalimiana na Wakazi waliojitokeza kwenye
Makao makuu ya CCM ameelekea katika Hospitali ya Mkoa kuwaona wagonjwa
mbalimbali na Baada ya hapo ameelekea Wilayani Misenyi kwenda kusalimia
Wakazi wa huko na Kuwaomba wamdhamini kwa kuweka saini fomu zake za
kuwania Urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho cha
CCM. Mh. Januari Makamba Akitia saini Katika kitabu cha wageni Ofisi za CCM January Akizungumza na wakazi wa Bukoba waliojitokeza kumsikiliza katika katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kagera leo Wakazi wa Mji wa Bukoba wakimsikiliza Mh. January Makamba kwa makini leo hii jumatano.
EmoticonEmoticon