KONA YA JAMII
BREAKING NEWSNYUMBA MBILI ZATEKETEA KWA MOTO MAENEO YA NZOVWE STAND MBEYA BAADA YA GARI KUBWA KUGONGA NGUZO YA UMEME NA KUSABABISHA HITILAFU
NYUMBA MBILI ZATEKETEA KWA MOTO MAENEO YA NZOVWE STAND MBEYA BAADA YA GARI KUBWA KUGONGA NGUZO YA UMEME NA KUSABABISHA HITILAFU
Nyumba mbili zateketea kwa moto nzovwe chanzo ni gari kubwa limegonga nguzo ya umeme na kusababisha short na hatimayee nyumba kuwaka moto baadhi ya vitu vimeteketea zikiwemo mali mbalimbali kama vile mbuzi,ng`ombe na kuku waliokuwemo katika nyumba hizo.
EmoticonEmoticon