Majina yaliongia kwenye
hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa rasmi Ijumaa hii. Hiyo ni baada ya siku
kadhaa za kuhesabu mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na wananchi kwa kipindi cha
wiki tatu tangu kuzinduliwa kwa tuzo hizo.
Zoezi la kupiga kura
linafunguliwa rasmi Jumamosi hii, April 24.
Haya
ndio majina matano yaliyoingia kwenye tano bora:
Mtangazaji
wa redio anayependwa TZW1
Dida – Times FM
D’Jaro Arungu – TBC FM
Diva – Clouds FM
Mariam Kitosi – Times FM
Millard Ayo – Clouds FM
Kipindi
cha redio kinachopendwa TZW2
Ala za Roho – Clouds FM
Amplifaya – Clouds FM
Hatua Tatu – Times FM
Papaso – TBC FM
XXL – Clouds FM
Mtangazaji
wa runinga anayependwa TZW3
Abdallah ‘Dullah’ Ambua -
EATV
Salama Jabir – EATV/Maisha
Magic
Salim Kikeke – BBC Swahili
Sam Misago - EATV
Zamaradi Mketema – Clouds TV
Kipindi
cha runinga kinachopendwa TZW4
Friday Night Live – EATV
In My Shoes – EATV
Mkasi – EATV
Planet Bongo – EATV
Take One – Clouds TV
Blog/Website
inayopendwa TZW5
Muongozaji
wa video anayependwa TZW6
Abby Kazi
Adam Juma
Khalfan
Hanscana
Nisher
Muongozaji
wa filamu anayependwa TZW7
Jacob 'JB' Stephen
Leah Mwendamsoke
Timothy Conrad
Vincent ‘Ray' Kigosi
William Mtitu
Muigizaji
wa kike wa filamu anayependwa TZW8
Elizabeth 'Lulu'
Michael
Irene Uwoya
Jacqueline Wolper
Riyama Ally
Wema Sepetu
Muigizaji
wa kiume wa filamu anayependwa TZW9
Hemedi Suleiman
Jacob 'JB'
Stephen Mzee
King Majuto
Salim ‘Gabo’ Ahmed
Vincent 'Ray' Kigosi
Mwanamuziki
wa kike anayependwa TZW10
Lady Jaydee
Linah
Mwasiti
Shilole
Vanessa Mdee
Mwanamuziki
wa kiume anayependwa TZW11
Alikiba
Barnaba
Diamond Platnumz
Jux
Ommy Dimpoz
Filamu
inayopendwa TZW12
Chausiku
Kigodoro
Madam
Mshale wa Kifo
Sunshine
Video
ya muziki inayopendwa TZW13
Akadumba - Nay
wa Mitego
Kipi Sijasikia – Profesa Jay
Nani kama Mama – Christian Bella
f/ Ommy Dimpoz
Wahalade - Barnaba
XO - Joh Makini
EmoticonEmoticon