BREAKING NEWS Anonymous 01:26 Anonymous Kundi la Alshabaab wamefanya mashambulizi katika chuo kikuu cha Garissa kasikazini mwa Kenya karibu na mpaka wa Somalia na maafisa usalama wa Kenya wamethibitisha kuwa watu wawili wamefariki Dunia na wanne kujeruhiwa katika mashambulizi hayo na wakazi wa eneo hilo wametakiwa kuaa mbali na eneo hilo Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest Artikel Menarik Lainnya
EmoticonEmoticon