Tume
ya Uchaguzi (NEC) imesema haitoweza kuendelea na zoezi la kura ya maoni kama
ilivyopangwa kufanyika Aprili 30, kutokana na kutokamilika kwa zoezi la
uboreshaji daftari la kudumu la wapigakura.
Akiongea
leo Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Damian Lubuva
amesema kuwa zoezi lolote la kupiga kura likiwepo la kura ya maoni ya Katiba
inayopendekezwa linategemea kuwepo kwanza kwa daftari la kudumu la wapigakura.
Licha
ya kutangaza kuhairishwa zoezi la upigaji kura ya maoni hadi baadae, Jaji
Lubuva amesema zoezi la uboreshwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura
litaendelea katika mikoa ya Lindi, Ruvuma, Iringa na Mtwara KWA KUTUMIA MASHINE ZA
wa
Biometric Voters Registration (BVR)
EmoticonEmoticon