BREAKING NEWS BASI LA NGANGA LINALOFANYA SAFARI ZAKE KATI YA IRINGA_KILOMBERO LIMEGONGANA USO KWA USO NA FUSO KISHA MAGARI YOTE KUWAKA MOTO


Bas la nganga linalofanya safari Iringa kilombero limegongana uso kwa  uso na fuso kisha magari hayo kuteketea kwa moto huko maeneo ya milimani kilometa kadhaa kutoka ruaha mbuyuni watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengne wamekufa kwa kuteketea na moto ajal hyo imetokea leo asubuhi saa 2 Taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa.
Previous
Next Post »