BREAKING NEWS BASI LA KAMPUNI YA GAMET LAPATA AJALI MAENEO YA KIBITI


Gari kampuni ya gamet limepata ajali maeneo ya kibiti baada ya kutaka kumkwepa mtu mwenye tatizo la  akili lakini halikufanikiwa kumkwepa limemgonga na kuacha njia na kupinduka kifo cha mtu mmoja aliyegongwa na wengine majeruhi habari kamili utapata hapa endelea kufuatilia.
Previous
Next Post »