BASI LA UNIQUE LENYE NAMBA ZA USAJILI T148 BKK LAPATA AJALI WATU 10 WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA HUKO SHINYANGA Anonymous 07:41 Anonymous AJALI hii ya basi la Unique lenye namba za usajili T148 BKKambayo imetokea katika kijiji cha Ibingo kata ta samuye shinyanga inasemekana watu Watu 10 wafa, 50 wajeruhiwa taarifa zaidi endelea kutufuatilia. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest Artikel Menarik Lainnya
EmoticonEmoticon