AJALI NYINGINE TENA BASI LA HAPPY NATION MAENEO YA MIKUMI



Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya kupata ajali na kutumbukia kwenye mfereji katika eneo la Kikwaraza Mikumi mkoani Morogoro.

chanzo-EATV
Previous
Next Post »