BREAKING NEWS BASI LA NGORIKA ARUSHA-DAR NA RATCO DAR-TANGA YAGONGANA USO KWA USO












AJALI: Mabasi la Ngorika na RATCO yamegongana uso kwa uso eneo la Msata.  Inasemekana Mpaka sasa,  watu 10 wamepoteza maisha kwa habari kamili endelea kufuatilia ,mtandao huu.
Previous
Next Post »