HIZI NI BAADHI YA PICHA KATIKA TUKIO LILILOTOKEA ENEO LA NSALAGA MBEYA AMBAPO MTU KACHOMWA MOTO NA WATU WENYE HASIRA BAADA YA KUMKATA KICHWA MTOTO

 

 





Katika hali yakushangaza iliyojitokeza leo majira ya saa tano za asubuhi wananchi wenye hasira kali wameomchoma hadi kufa kijana mmoja uyole Mbeya maeneo ya Nsalaga  baada ya kumkata mtoto wa dada yake kichwa na mkono na kutoonekana sehemu hiyo ya tukio  katika picha ni baadhi ya wananchi wenye hasira kali wakiwa wanabonda mawe katika nyumba ambayo mtoto huyo mwenye umri wa miaka minne alikimbilia humo ndani huku ujenzi wa nyumba hiyo ukiendelea amapo wameharibu vibaya nyumba hiyo.
Previous
Next Post »