
Jengo lililopo ndani ya msikiti wa Soweto linateketea kwa moto muda huu na wananchi na waumini wa msikiti huo wakiwa katika harakati za kuuzima moto huo na lawama zinaelekezwa kwa kikosi cha zimamoto kwani toka wametaarifiwa hawajafika mpaka wananchi wamefanikiwa kuuzima moto lakini jengo limeshateketea loote.
EmoticonEmoticon