Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mkuu
wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akimtunuku shahada ya heshima ya Uzamivu (PhD) Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete, kwa
kutambua mchango wake katika Jamii, kitaifa na kimataifa pamoja na
kufanikisha kuanzishwa kwa Taasisi hiyo. Dkt Jakaya alitunukiwa Shahada
hiyo wakati wa Mahafali ya pili ya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo Jijini
Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu
wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akimtunuku shahada ya Sayansi Uhandisi na Hesabu PhD,
James Philip, wakati wa Mahafali ya 2 ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo
jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mkuu
wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Mahafali ya 2 ya Taasisi ya
Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela iliyofanyika leo jijini Arusha.
Baadhi ya wahitimu...
Baadhi ya wahitimu...
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake ambaye ni Mkuu wa Taasisi hiyo,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wahitimu.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake ambaye ni Mkuu wa Taasisi hiyo,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wahitimu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mkuu
wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiwa katika maandamano na viongozi wa Taasisi hiyo
pamoja na wahitimu, wakati wa Mahafali ya 2 ya Taasisi hiyo
yaliyofanyika leo jijini Arusha. Picha na OMR
EmoticonEmoticon